Ufafanuzi wa bikiri katika Kiswahili

bikiri

kitenzi elekezi

  • 1

    toboa kizinda cha mwanamke; toa ubikira.

Matamshi

bikiri

/bikiri/