Ufafanuzi wa bili katika Kiswahili

bili

nominoPlural bili

  • 1

    orodha ya huduma iliyotolewa au vitu vilivyouzwa pamoja na kiasi cha fedha zinazodaiwa.

    ankra

Asili

Kng

Matamshi

bili

/bili/