Ufafanuzi wa bilioni katika Kiswahili

bilioni

nominoPlural bilioni

  • 1

    milioni elfu moja.

  • 2

    1,000,000,000.

Asili

Kng

Matamshi

bilioni

/biliɔni/