Ufafanuzi wa biokemia katika Kiswahili

biokemia

nomino

  • 1

    elimu ya sayansi inayohusisha biolojia na kemia.

Asili

Kng

Matamshi

biokemia

/bijɔkɛmija/