Ufafanuzi wa bisi katika Kiswahili

bisi

nominoPlural bisi

  • 1

    punje za mahindi au mtama zilizokaangwa.

    uketo

Matamshi

bisi

/bisi/