Ufafanuzi wa bobwe katika Kiswahili

bobwe

nominoPlural bobwe

  • 1

    samaki wadogowadogo wa aina mbalimbali waliochanganyika.

    kumbu

Matamshi

bobwe

/bɔbwɛ/