Ufafanuzi wa boharia katika Kiswahili

boharia

nominoPlural maboharia

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutunza vifaa au bidhaa katika ghala au bohari.

Matamshi

boharia

/bɔharija/