Ufafanuzi msingi wa bombwe katika Kiswahili

: bombwe1bombwe2bombwe3

bombwe1

nominoPlural mabombwe

 • 1

  urembo wa kuchora.

  kienzo, mtindo, urembo

 • 2

  nakshi ya ukili.

  ‘Kata mabombwe’

Matamshi

bombwe

/bɔmbwɛ/

Ufafanuzi msingi wa bombwe katika Kiswahili

: bombwe1bombwe2bombwe3

bombwe2

nominoPlural mabombwe

 • 1

  gae la chungu.

Matamshi

bombwe

/bɔmbwɛ/

Ufafanuzi msingi wa bombwe katika Kiswahili

: bombwe1bombwe2bombwe3

bombwe3

nominoPlural mabombwe

Matamshi

bombwe

/bɔmbwɛ/