Ufafanuzi wa bondo katika Kiswahili

bondo

nomino

  • 1

    chakula kilichopoa kabisa na kuganda.

Matamshi

bondo

/bɔndɔ/