Ufafanuzi wa borohoa katika Kiswahili

borohoa

nominoPlural borohoa

  • 1

    kitoweo kinachopikwa kwa kunde au choroko zilizosongwa na kuwa kizito kama uji ambacho huliwa kwa wali au ugali.

    kiheba, kihembe

Matamshi

borohoa

/bɔrɔhɔwa/