Ufafanuzi wa borongo katika Kiswahili

borongo

nominoPlural maborongo

  • 1

    kitu au jambo lililoharibika au kuvurugika.

Matamshi

borongo

/bɔrɔngɔ/