Ufafanuzi wa bosi katika Kiswahili

bosi

nominoPlural mabosi

  • 1

    mkuu wa ofisi au kazi.

  • 2

    ofisa anayeajiri watu.

  • 3

    tajiri

Asili

Kng

Matamshi

bosi

/bɔsi/