Ufafanuzi msingi wa breki katika Kiswahili

: breki1breki2

breki1

nominoPlural breki

  • 1

    kitu kinachopunguza kasi ya chombo kinachoenda k.v. gari au baiskeli.

Asili

Kng

Matamshi

breki

/brɛki/

Ufafanuzi msingi wa breki katika Kiswahili

: breki1breki2

breki2

nominoPlural breki

  • 1

    mapumziko, hasa kati ya vipindi shuleni au ofisini.

    hafutaimu

Asili

Kng

Matamshi

breki

/brɛki/