Ufafanuzi wa buga katika Kiswahili

buga

kitenzi elekezi

  • 1

    okota masazo ya mazao yaliyoachwa na wavunaji shambani.

  • 2

    okoteza chakula.

    doea, rondea, rombeza

Matamshi

buga

/buga/