Ufafanuzi wa bumburuka katika Kiswahili

bumburuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shtuka ghafla na kwenda mbio k.v. kundi la ndege au wanyama wanapokurupushwa.

    kurupuka

  • 2

    amka kwa kitisho.

Matamshi

bumburuka

/bumburuka/