Ufafanuzi wa bumunda katika Kiswahili

bumunda

nominoPlural mabumunda

  • 1

    andazi linalotengenezwa kwa ndizi mbivu na unga na kuokwa au unga wa bisi za mtama unaochanganywa na samli na kuviringwa kama ladu.

Matamshi

bumunda

/bumunda/