Ufafanuzi wa burudika katika Kiswahili

burudika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    pata mambo ya kustarehesha nafsi ya mtu.

    starehe, andisi

Matamshi

burudika

/burudika/