Ufafanuzi msingi wa buti katika Kiswahili

: buti1buti2buti3buti4

buti1

nominoPlural mabuti, Plural buti

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  aina ya muundo wa majahazi ya Kiamu.

Matamshi

buti

/buti/

Ufafanuzi msingi wa buti katika Kiswahili

: buti1buti2buti3buti4

buti2

nominoPlural mabuti, Plural buti

 • 1

  kiatu kikubwa, agh. cha ngozi, kinachofunika mguu wote mpaka kwenye jicho la mguu.

Asili

Kng

Matamshi

buti

/buti/

Ufafanuzi msingi wa buti katika Kiswahili

: buti1buti2buti3buti4

buti3

nominoPlural mabuti, Plural buti

 • 1

  mchezo maarufu sana wa watu wa mwambao wa pwani ya Tanzania unaochezwa na wavulana na wasichana pamoja kwa kukaa duara na mmoja kuwa katikati akicheza kisha akimpa chambi mwingine ili naye aingie kucheza.

Matamshi

buti

/buti/

Ufafanuzi msingi wa buti katika Kiswahili

: buti1buti2buti3buti4

buti4

nominoPlural mabuti, Plural buti

 • 1

  sehemu ya kuhifadhia mizigo, agh. iliyo upande wa nyuma wa gari.

Asili

Kng

Matamshi

buti

/buti/