Ufafanuzi msingi wa chachawa katika Kiswahili

: chachawa1chachawa2

chachawa1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  rukaruka kwa furaha kama wafanyavyo watoto wanapofurahi.

 • 2

  chemka k.v. damu ikiwa yachonyota mwilini.

  ‘Damu ilimchachawa’

Matamshi

chachawa

/t∫at∫awa/

Ufafanuzi msingi wa chachawa katika Kiswahili

: chachawa1chachawa2

chachawa2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  shikilia jambo kwa nguvu.

  chacha, chaga, charuka

Matamshi

chachawa

/t∫at∫awa/