Ufafanuzi wa chafi katika Kiswahili

chafi, tafi

nomino

  • 1

    samaki wa baharini wa kijivujivu, mpanampana na batabata.

Matamshi

chafi

/t∫afi/