Ufafanuzi wa chagizi katika Kiswahili

chagizi

kivumishi

  • 1

    -enye kughasi; enye kusumbua; -enye kushinikiza.

Matamshi

chagizi

/t∫agizi/