Ufafanuzi wa chai katika Kiswahili

chai

nominoPlural chai

  • 1

    kinywaji kinachotengenezwa kwa kutia majani ya mchai kwenye maji yanayochemka.

  • 2

    majani ya mchai.

Asili

Khi

Matamshi

chai

/t∫aji/