Ufafanuzi wa chakachaka katika Kiswahili

chakachaka

kielezi

  • 1

    upesi sana; mara moja; kwa haraka.

Matamshi

chakachaka

/t∫akat∫aka/