Ufafanuzi wa chamburo katika Kiswahili

chamburo

nominoPlural chamburo

  • 1

    namna ya koleo inayotumiwa na masonara kutengenezea mikufu.

Matamshi

chamburo

/tʃamburɔ/