Ufafanuzi msingi wa chane katika Kiswahili

: chane1chane2

chane1

nomino

  • 1

    shada moja la mkungu wa ndizi; kifungu cha ndizi kutoka katika mkungu.

    shuke

Ufafanuzi msingi wa chane katika Kiswahili

: chane1chane2

chane2

nomino

  • 1

    nunu za ukindu au miyaa baada ya kuchanwa ili zisukwe ukili.

    nunu

Matamshi

chane

/t∫anɛ/