Ufafanuzi wa changamsha katika Kiswahili

changamsha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya mtu awe na furaha na uchangamfu.

Matamshi

changamsha

/t∫angam∫a/