Ufafanuzi wa changarawe katika Kiswahili

changarawe

nominoPlural changarawe

  • 1

    vipande vidogo vya mawe vilivyo vikubwa kuliko mchanga lakini vidogo kuliko kokoto; mawe madogomadogo.

Matamshi

changarawe

/t∫angarawɛ/