Ufafanuzi wa chanikiwiti katika Kiswahili

chanikiwiti

nomino

  • 1

    rangi ya kijani kibichi.

Matamshi

chanikiwiti

/t∫anikiwiti/