Ufafanuzi wa chapisha katika Kiswahili

chapisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    andaa muswada na kuutoa k.v. kitabu au jarida.

Matamshi

chapisha

/t∫api∫a/