Ufafanuzi wa chechea katika Kiswahili

chechea

kitenzi sielekezi~lea, ~ka, ~sha

  • 1

    tembea kwa kurukaruka kwa sababu ya maumivu aliyonayo mtu au mnyama aliyeumia.

    chechemea

  • 2

    kata vipande vidogovidogo vya kitu.

Matamshi

chechea

/t∫ɛt∫ɛja/