Ufafanuzi wa chelewesha katika Kiswahili

chelewesha

transitive verb

  • 1

    sababisha jambo likawie kufanyika.

Matamshi

chelewesha

/t∫ɛlɛwɛ∫a/