Ufafanuzi msingi wa chelezo katika Kiswahili

: chelezo1chelezo2chelezo3chelezo4chelezo5

chelezo1

nomino

  • 1

    kitu kinachosababisha kuchelewa.

Matamshi

chelezo

/t∫ɛlɛzɔ/

Ufafanuzi msingi wa chelezo katika Kiswahili

: chelezo1chelezo2chelezo3chelezo4chelezo5

chelezo2

nomino

  • 1

    chombo kilichotengenezwa kama chaga kwa ajili ya kuvukia sehemu ya maji k.v. mto, bwawa, n.k..

Matamshi

chelezo

/t∫ɛlɛzɔ/

Ufafanuzi msingi wa chelezo katika Kiswahili

: chelezo1chelezo2chelezo3chelezo4chelezo5

chelezo3

nomino

  • 1

    chombo kilichotengenezwa kwa vipande vya mbao ambacho huelea majini na hutumiwa kwa kuvukia mto.

Matamshi

chelezo

/t∫ɛlɛzɔ/

Ufafanuzi msingi wa chelezo katika Kiswahili

: chelezo1chelezo2chelezo3chelezo4chelezo5

chelezo4

chelezo5

nomino

Matamshi

chelezo

/t∫ɛlɛzɔ/