Ufafanuzi msingi wa chembe katika Kiswahili

: chembe1chembe2chembe3

chembe1

kivumishi

 • 1

  ‘Hana akili hata chembe’
  -dogo

Matamshi

chembe

/t∫ɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa chembe katika Kiswahili

: chembe1chembe2chembe3

chembe2

nominoPlural chembe, Plural vyembe

 • 1

  kitu kidogo.

  ‘Chembe ya mchanga’
  ‘Chembe ya nafaka’
  punje

Matamshi

chembe

/t∫ɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa chembe katika Kiswahili

: chembe1chembe2chembe3

chembe3

nominoPlural chembe, Plural vyembe

 • 1

  kichwa cha mshale au mkuki; sehemu ya mbele ya mshale au mkuki yenye makali.

Matamshi

chembe

/t∫ɛmbɛ/