Ufafanuzi wa cheti katika Kiswahili

cheti

nominoPlural vyeti

  • 1

    kipande cha karatasi kinachoandikwa kwa ajili ya mtu mwingine.

    ‘Cheti cha matibabu’

  • 2

    karatasi anayopewa mtu kama uthibitisho wa sifa au mafanikio katika jambo fulani.

    hati

Asili

Khi

Matamshi

cheti

/t∫ɛti/