Ufafanuzi wa chimbia katika Kiswahili

chimbia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    chimba shimo, tia kitu ndani na fukia shimo.

Matamshi

chimbia

/t∫imbija/