Ufafanuzi msingi wa chipukizi katika Kiswahili

: chipukizi1chipukizi2

chipukizi1

nominoPlural machipukizi

  • 1

    mmea mchanga unaoanza kutokeza juu.

  • 2

    mmea unaoota katika kisiki cha mti uliokatwa.

Matamshi

chipukizi

/t∫ipukizi/

Ufafanuzi msingi wa chipukizi katika Kiswahili

: chipukizi1chipukizi2

chipukizi2

nominoPlural machipukizi

  • 1

    kijana anayeanza kuinukia.

Matamshi

chipukizi

/t∫ipukizi/