Ufafanuzi wa chombeza katika Kiswahili

chombeza

kitenzi elekezi

  • 1

    dodosa mtu ili kupata taarifa.

  • 2

    bembeleza mtu.

    ‘Alikumbuka nyimbo alizokuwa akiimba marehemu mamake alipokuwa akiwachombeza ndugu zake’

Matamshi

chombeza

/t∫ɔmbɛza/