Ufafanuzi wa chopstiki katika Kiswahili

chopstiki

nominoPlural chopstiki

  • 1

    moja kati ya jozi za vijiti vidogo vyembamba vya k.v. mbao au plastiki, vinavyoshikwa pamoja kwenye kiganja na kutumiwa kuwa chombo cha kulia, hasa na Wachina au Wajapani.

Asili

Kch/Kjp

Matamshi

chopstiki

/t∫ɔpstiki/