Ufafanuzi msingi wa chozi katika Kiswahili

: chozi1chozi2

chozi1

nominoPlural machozi, Plural chozi

 • 1

  tone la maji linalotoka machoni mtu anapolia au kufurahi sana.

Matamshi

chozi

/t∫ɔzi/

Ufafanuzi msingi wa chozi katika Kiswahili

: chozi1chozi2

chozi2

nominoPlural machozi, Plural chozi

 • 1

  jina la jumla la aina ya ndege wadogowadogo wanaokula asali ya maua.

  ‘Chozi moto’
  ‘Chozi dume’
  ‘Chozi gunda’
  ‘Chozi muhogo’
  ‘Chozi mgomba’
  ‘Chozi tiari’
  ‘Chozi mwalimu’
  chigi

 • 2

  aina ya ndege anayekunywa pombe ya mnazi.

Matamshi

chozi

/t∫ɔzi/