Ufafanuzi wa chua katika Kiswahili

chua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  sugua kwa nguvu kwa mkono au kwa kitu kingine.

  ‘Chua miguu’

 • 2

  kanda au singa.

  ‘Chua mkono’

 • 3

  danganya mtu kwa maneno mazuri.

Matamshi

chua

/t∫uwa/