Ufafanuzi wa chubuko katika Kiswahili

chubuko

nominoPlural machubuko

  • 1

    mahali palipochubuka.

  • 2

    jeraha, mkwaruzo

Matamshi

chubuko

/t∫ubukɔ/