Ufafanuzi wa chuchupaa katika Kiswahili

chuchupaa, chichipaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kaza kwa msuli au misuli ya paja, mguu au mkono kwa sababu ya kupinda au kupata jeraha kwenye kano wakati k.v. wa kucheza, kukimbia, n.k. au kutokana na maradhi.

Matamshi

chuchupaa

/t∫ut∫upa:/