Ufafanuzi wa chui katika Kiswahili

chui

nominoPlural chui

  • 1

    mnyama wa msituni wa jamii ya paka lakini mkubwa na mkali mwenye madoadoa ya njano na meusi.

  • 2

    mtu katili.

Matamshi

chui

/t∫uji/