Ufafanuzi wa chukia katika Kiswahili

chukia

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kuwa na mapenzi; kutopenda.

    sinya, kasirika, nuna, zia, hamaki

Matamshi

chukia

/tāˆ«ukija/