Ufafanuzi wa chukuzana katika Kiswahili

chukuzana

kitenzi elekezi

  • 1

    beba kitu kwa zamu au kwa kupokezana.

  • 2

    fuatana pamoja na mtu kwenda mahali fulani, hasa kwa kulazimishana.

Matamshi

chukuzana

/t∫ukuzana/