Ufafanuzi msingi wa chuo katika Kiswahili

: chuo1chuo2chuo3

chuo1

nominoPlural vyuo

 • 1

  asasi inayotoa mafunzo maalumu ya kazi fulani.

  ‘Chuo cha Ufundi’
  ‘Chuo cha Kilimo’
  ‘Chuo cha Ualimu’

 • 2

  mahali watu wanapojifunza Kurani.

  madrasa

 • 3

  kitabu cha dini ya Kiislamu kilichoandikwa na mtu kwa hati za Kiarabu.

  kitabu, dutu

Matamshi

chuo

/t∫uwɔ/

Ufafanuzi msingi wa chuo katika Kiswahili

: chuo1chuo2chuo3

chuo2

nominoPlural vyuo

 • 1

  ‘Hiki ni chuo cha pili kuolewa’

Matamshi

chuo

/t∫uwɔ/

Ufafanuzi msingi wa chuo katika Kiswahili

: chuo1chuo2chuo3

chuo3

nominoPlural vyuo

 • 1

  kitu mfano wa chembeu cha kuchokolea nazi.

Matamshi

chuo

/t∫uwɔ/