Ufafanuzi wa chuo kikuu katika Kiswahili

chuo kikuu

nominoPlural vyuo kikuu

  • 1

    asasi yenye kutoa elimu ya juu na kuwatunukia wahitimu wake digrii.

Matamshi

chuo kikuu

/t∫uwɔ kiku:/