Ufafanuzi wa chupio katika Kiswahili

chupio

nomino

  • 1

    kibanio cha nywele.

Matamshi

chupio

/t∫upijɔ/