Ufafanuzi wa dadavua katika Kiswahili

dadavua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    pata ufumbuzi wa jambo lililotatiza; fafanua jambo kwa kina.

Matamshi

dadavua

/dadavuwa/