Ufafanuzi wa dafina katika Kiswahili

dafina

nominoPlural dafina

  • 1

    hazina iliyozikwa.

  • 2

    vitu vya thamani vilivyofichwa katika ardhi.

  • 3

    tunu au zawadi iliyopatikana bila ya kutarajiwa.

Asili

Kar

Matamshi

dafina

/dafina/